2016年9月简报 habari mpya ya mwezi wa 9, 2016

Habari zenu! Siwaxili com 的用户们!

大家好,这是我第二十次推送网站的简报。

由于大部分基础单词已经上传完毕,所以放缓了新单词的录入进度。六七八三个月总共收录新的单词106个。在页面的最后照例会附上这些单词的链接。

我将最近几个月的工作重心转移到词典 APP 的研发及推广上。

1609

鉴于对媒体环境并不熟悉,加之文化创新的商业回报比率不易估算,所以自己和团队也并没有做任何宣传,只在潜心做事。我们相信,任何创新的前提都是专业和时间的积累。就像斯瓦希里语俗语所说,Mwenda pole hajikwai,“慢慢走路的人才不会崴着脚”。现在的时间点并不特别,但仍希望词典网站真正的用户可以在闲时陆续加入到词典网站的建设和推广工作中来。

也感谢盛世同先生、袁丁先生、武小姐以及蒙巴萨摩根船长(+254 0786888888)对网站的慷慨捐赠。

祝大家生活愉快,工作顺利。

沈玉宁
2016年9月6日 于达累斯萨拉姆

另:词典网站的简报将正式改为每三月一次,不再另行通知。


Habari zenu, watumiaji wa tovuti ya siwaxili.com!

Hii ni mara yangu ya ishirini kutangaza habari mpya kuhusu siwaxili.com yaani tovuti ya kamusi mpya ya Kiswahili-Kichina, toleo la kwenye Mtandao.

Kama mnavyofahamu watumiaji wengi maneno ya msingi yameshaingizwa kwenye kamusi hii. Kwa hiyo nilichelewa kidogo kuingiza maneno mapya. Hata hivyo kamusi hii imeongezwa maneno mapya 106 ndani ya miezi mitatu iliyopita.

Pia kama ilivyo kawaida ya taarifa hii, orodha ya maneno mapya mtaipata mwishoni mwa barua hii.
Kando na kazi hii ya kuingiza maneno pia nilijitosa katika shughuli ya kutengeneza APP kwa ajili ya kuitangaza.

1609
maonyesho
njia ya kulipia (kichina)

Kwa kuwa uwanja wa vyombo vya habari ni sehemu ambayo ni mgeni nayo kidogo. Pamoja na kuwa uwekezaji wa kielimu na wa kujengea uhusiano bora baina ya tamaduni sio kazi ya rahisi. Maana ni ngumu sana kuwashawishi wenzetu hata kama tunaweza, tutafaulu na sote tutapata faida. Kwa hiyo mimi na wenzangu hatukufanya matangazo yoyote ila tulichapa kazi tuwezavyo. Yaani tunaamini kwamba kila uvumbuzi (kiteknolojia, kitaaluma ama kibiashara) masharti yake ni maarifa na utaalamu ambao ni mazao wanayojivunia wahusika kwa muda. Waswahili husema, “Mwenda pole hajikwai.” Sisi tunakubali kwa dhati.

Siku ya leo siyo ya kubebea maana maalum, lakini tunatumai kweli kuwa wao wanaotumia kamusi hii mara moja moja wangeweza kujitolea kwenye shughuli ya kuijenga, kuiimarisha na kuiboresha kamusi hii.

Nawashukuru sana Bw. Sheng Shitong, Bw. Yuan Ding, Bi. Wu na jamaa anayejiita “Bw. Nahodha Morgan toka Mombasa” (+254 7868 88888) kwa michango yao mikubwa.

Nawatakia siku zenye amani na furaha.

Asante,
Yuning Shen
tar 6 mwezi wa 9, Dar-es-Salaam

Pia, badala ya kila mwezi taarifa hii itakuwa ikitangazwa kila baada ya miezi mitatu. Tunashukuru.


mlonge mchikichi tarakilishi msandarusi msaji kipuli trekta rufuku kwanyua kwanyuka kongoni nyamera tumbuu tumbusi kupe kenge henge saiti kampeni ubaini mbaini amfibia sangara ngele sangara sato chambua lipia daiwa fukuzwa zulia wikiendi wasaa wakili utenzi uovu uchao tunu tiwa tendo tanabahi shtuka sogelea sinia sawia punde patana osha noga ukeketaji keketa tahiri jitolea tolea taraji okota uzamifu uzamili gawanyika vuja ng’ata nabihika nabihi mwanadamu msisimko mlingoti mgongo maridhia maridhiano machweo macheo laumu kivuko mlemavu tarafa nidhamisha kuli kiwete kote kamsa mpangaji mtambo makato kamilika feli kibiriti hatima kafeteria bize judo bikira uvimbe

[上一个月的简报 / barua ya mwezi uliopita]
[下一个月的简报 / barua ya mwezi ufuatao]