-achilia 【动】 1. 让某人离开,放开某人,松开某人 例句:Wao walimwachilia mwizi baada ya kumchapa vibaya. 释义:他们把小偷狠揍了一顿之后才放开他。 2. 公布官方的决定,公布裁决或审判结果 例句:Kamati ya utekelezaji wa katiba imeachilia uamuzi wake kuhusu tarehe ya uchaguzi. 释义:宪法施行委员会公布了关于大选日期的决定。