-adhibu 【动】 1. 惩罚 例句:Serikali inawaadhibu walioshirikiana na waasi. 释义:政府惩罚那些和叛军有联系的人。 2. 用恶劣的方式进行报复 例句:Al-Shabaab wameapa kuadhibu vikali raia yeyote ambaye aliwasaidia wanajeshi wa Kenya. 释义:索马里青年党发誓对所有帮助肯尼亚军队的人进行报复。