dakika 【名】 (-) 1. 分,分钟 例句:Mchezo wa kandanda huchukua jumla ya dakika tisini. 释义:一场足球赛一般一共持续90分钟。 2. 很短的一段时间 例句:Mgeni anaweza kufika kwa dakika. 释义:客人可能很快就来了。