imani 【名】 (-) 1. 信仰 例句:Imani ya wakristu ni kuwa Bwana Yesu atarudi tena. 释义:基督徒的信仰是耶稣会再一次降临。 2. 信任,相信 例句:Wananchi wana imani ya kwamba serikali itatekeleza ilivyoahidi. 释义:国民们相信政府会完成曾经许诺的事情。