kando 【名】 (-) 边缘,边上 例句:Baada ya kukaguliwa na polisi walisimama kando ya njia bila ya kujua la kufanya. 释义:在被警察检查过之后,他们站在路边,也不知道该做什么。