mashua 【名】 (-) 船、艇(的通称) 例句:Basi twende mkahawa ulio karibu na pwani – tutaona maji ya bahari na mashua. 释义:好吧,我们去海边的饭店吧,(那里)我们可以看到海和船。 词组:mashua ya matanga 帆船