mateka 【名】 (-) [yu-/wa-] 战俘 例句:Kulingana na sheria ya kimataifa ya kivita mateka hawawezi kuadhibiwa. 释义:根据国际战争法的规定不允许虐待战俘。 mateka 【名】 [ya-] 战利品 例句:Mfalme anagawa mateka kwa wanajeshi wake. 释义:国王把战利品分给他的士兵们。