mbunge 【名】 (wa-) 议员,国会议员,议会成员 例句:Ingawa Kenya ni nchi ya soko huru ambapo bei hutengemea mahitaji na upatikanaji wa bidhaa, wabunge wengi wanasema wafanyabiashara ndio wanaofaa kulaumiwa zaidi. 释义:虽然肯尼亚是自由市场经济,价格的制定是按照商品的供求关系,但很多议员声称商人应受到更多的批评。