mchanganyiko 【名】 (mi-) 混合物,混合体,混合在一起的状态 例句:Watalii wanaotembea Zanzibar ni mchanganyiko wa watu wa nchi mbalimbali. 释义:来桑给巴尔的游客来自不同的国家。