mkahawa I1 【名】 (mi-) 餐厅,饭店,咖啡店,食铺 例句:Ule mkahawa huuza vyakula vya aina mbalimbali. 释义:那个饭店出售各种各样的食品。 mkahawa II 【名】 (mi-) 咖啡树 例句:Wakulima wameonywa kutokata mikahawa. 释义:农民被警告不要砍伐咖啡树。 也作 mgahawa [↩]