mwanagenzi 【名】 (wanagenzi) 1. 学徒工 例句:Nguo hii haikushonwa vizuri. Labda ni mwanagenzi ndiye aliyeshona? 释义:这件衣服缝的不是很好。可能是学徒工缝的? 2. (将要)生第一胎的女性 例句:Mimi siujui uchungu wa kuzaa, kwa sababu bado mwanagenzi. 释义:我不知道生育有多痛苦,因为我还是第一次怀孕。