pafu 【名】 (ma-) 肺,肺部 例句:Alipopimwa na daktari aligunduliwa kuwa pafu lake limeharibika kutokana na uvutaji wa sigara. 释义:他在被医生检查时,发现因为抽烟,他的一个肺已经损伤了。