-tamu 【形】 1. 甜的 例句:Hili kabila la ndizi ni tamu sana. 释义:这个品种的香蕉很甜。 2. 美味的 例句:Ile hoteli ya kifahari huandaa vyakula vitamu. 释义:那个高级的酒店经常有很好吃的饭菜。 3. 让人高兴的,让人愉悦的,甜美 例句:Sauti ya mama ni tamu sana kwa wanawe. 释义:妈妈的声音对于她的孩子们来说最甜美。