tarehe 【名】 (-) 日子,日期 例句:Tarehe kumi na nne mwezi wa pili ni siku ya wapendanao. 释义:二月十四日是情人节。 例句:Hatujajua tarehe kamili ya kwenda shule baada ya likizo. 释义:我们还不知道放完假后回学校的准确日期。