anga 【名】 (ma-) 1. 天空,大气 例句:Leo katika anga kuna mawingu mengi. 释义:今天天空中有很多云 2. 领空 例句:Ndege za nje za kivita haziruhusiwi kuingia anga la nchi yetu. 释义:外国的战斗机不允许进入我国的领空。