kama 是什么意思 | Sema kama kwa Kichina

kama

【连】
1. 好像,像……什么
例句:Anaongea kama mgeni.
释义:他说话好像外地人。
例句:Alikuwa mkubwa kama wewe.
释义:他那时和你差不多高。
词组:kama hivi 像这样
词组:kama vile 例如,比方说
2. 如果,是……的话
例句:Kama hutaki kushuka hapa basi tuendelee.
释义:如果你不想这里下(车)的话,那我们继续开。


This is default text for notification bar